Saturday, 5 June 2021

Kwanini unawaza na inakuaje unakua na mawazo na utafanyaje au utajuaje una mawazo na utafanya nini ukijua....

STRESS’’Mawazo 


 

  • Ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida,taabu,dhiki,Matatizo ,au chagamoto zinazomkabili katika maisha yake ya kila siku.

CAUSES/SABABU 


 

  • Ni nini Haswa kupelekea au huchangia mtu kupata mfadhaiko wa akili (Stress ) hizi hapa ni baadhi tu ya sababu ambazo ni common 
  • Kubadirika kwa mfumo wa maisha 
  • Kazi au shule 
  • Mahusiano (hapa wengi hupata mawazo kutokana na mahusiano aliyonayo)
  • Kuyumba kwa uchumi 
  • Ubize (kua na ubize uliopitiliza napo hapa huchangia sana kua na mawazo)
  • Hofu au wasiwasi mwingi huchangia kua na mawazo 

SYMPTOMS/DALILI


 

  • Kupoteza uwezo wa kutunza vitu/kupoteza kukumbukumbuku.
  • Kupoteza umakini 
  • Kutokua na maamuzi 
  • Kuona au kufikilia vitu hasi (negative)
  • Kua na hasia 
  • Kupoteza mood (Moodness)
  • Kua na hasira za karibu 
  • Kukoswa utilivu 
  • Maumivu ya kichwa au mwili
  • Kuharisha au kukoswa choo 
  • Kichefuchefu 
  • Kizunguzungu 
  • Maumivu ya kifua au mapigo ya moyo kwenda mbio 
  • Kula sana kupitiliza au kula kidogo au kutokula kabisa 
  • Kulala sana au kulala kidogo sana 
  • Matumizi ya pombe ,sigara,na madawa ya kulevya.

TIBA AT HOME.

  • Fanya yafuatayo ukiwa nyumbani kama utahisi kua na hii hali ya mawazo (stress)
  • Chamomile tea 🍵 
  • Tumia aina hii ya majani ya chai chukua maji ya moto kikombe kimoja weka vijiko viwili vya chamomile acha kwa dakika tano halafu weka maziwa kiasi na asali kama utapenda kunywa nusu saa kabla ya mda wa kulala 
  • Massage 💆‍♂️ 
  • Fanya Masaji kwa kutumia mafta ya nazi tumia nazi asili na yakiwa bado ya motomoto kidogo-masaji sehemu ya kichwa,shingo,mabega ,kiuno na nyuma ya goti fanya hivo mara kwa mara.
  • Basil leaves🌿 
  • Tafuna jani la basil 🌿kila siku mara mbili kwa siku 
  • Eat the right food 🥘 
  • Kula muro kamili kama mboga mboga,matunda na nafaka 
  • Music 
  • Sikiliza muziki au nyimbo uzipendazo mara tu utapojihisi uko na mawazo kusikiliza mziki ni tiba nzuri sana ya kuondokana na stress.

No comments:

Post a Comment