MAUMIVU YA KIUNO,MGONGO NA NYONGA KWA WANAUME NA WANAWAKE.
- Maumivu ya kiuno huamzia chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo chini karibia na makalio.Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine hutelemka hadi mapajani pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu kutokea kwa ndani na kusambaa nje katika eneo la kiuno.
- Maumivu ya nyoga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno .Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotegeneza kiuno .Nyonga ndo inakufanya utembee,Inakuwezesha kutoka sehemu moja kwenye sehemu nyingine,Kukaa,kuruka na n.k.
SABABU ZINAZOPELEKEA HAYA MAUMIVU YA KIUNO,NYONGA NA MGONGO
- Kujichua kwa mda mrefu hasa kwa wanaume.
- Kubeba mizigo mizito kwa kuinama
- Namna ya kulala -godoro linaweza pia sababisha maumivu haya
- Mawazo -ukiwa na msongo wa mawazo pia unachangia
- Kulala kwa mda mrefu na matumizi mabaya ya mto
- Ajari -ukipata ajari pia inaweza pelekea ukapata hii shida
- Jongo(arthritis) uvimbe maji kwenye magoti
DALILI ZAKE
- Kuhisi homa
- Kupungua kwa uzito
- Kupata ganzi sehemu ya karibia na haja kubwa
- Kupata ganzi sehemu za makalio
- Kuvimba sehemu ya kiuno
- Kushidwa kukojoa au kupata maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi ganzi pia sehemu za siri
- Kushidwa au maumivu makali ukiinama
TIBA
- Fanya yafuatayo ukiwa nyumbani kama utakua na hii shida kabla ya kwenda kufanya uchunguzi zaidi
- Barafu-tumia pakiti ya barafu weka sehemu uliyoumia au unayohisi maumivu ndani ya masaa 24 toka umeanza kuhisi maumivu .
- Maji ya moto-Tumia maji ya moto kuoga kama maumivu yako yamepitiliza masaa 24 kwani ukitumia barafu zaidi ya masaa 24 toka umeumia hataisaidia
- Pata mda mwingi wa kupumzika hasa usiku lala mda wa kutosha kwa usiku na ulale katika sitaili nzuri au utumie mto vizuri.
- Mazoezi-Ni mhimu pia kufanya mazoezi ya viungo kadiri utakavyoweza Itakusaidia pia kuondokana na maumivu.
NB-maumivuvu ya kiuno ya mda mrefu yanaweza kukupelekea ukapata athari kama.....
- Kushidwa kufanya tendo la ndoa
- Kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili
- Kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa na kushidwa kurudia.
- Kushidwa Kutembea kunyanyuka


No comments:
Post a Comment