Saturday, 5 June 2021

Je?Wajua kwanini mtu hupata presha,Utafanyaje ukipata presha...

HYPERTENSION-(high blood pressure ) -

Ni kuongezeka kwa pressure kwenye mishipa ya arteries ambayo ina carry blood from the heart to the rest of the body



CAUSES|sababu.



1. kulala then umefungua mdomo au umeacha mdomo wazi 

2.Matatizo ya figo 

3.Matatizo au tatizo kwenye mishipa ya damu.

4.Matumizi ya dawa za kulevya 

5.Uvimbe wa tezi ya adrenal 

6.Shida ya tezi 

7.Matumizi ya pombe.


SIGN AND SYMPTOMS /dalili 

Mara nyingi dalili zake ni unknown japo mara nyingi unaweza hisi maumivu ya kichwa bt the best way to know ni kucheck Pressure 


TIBA AT HOME

1.mbegu za tikiti maji (chukua vijiko viwili vya mbegu vilivyopondwa pondwa au kusagwa then mix na maji ya Moto acha kwa mda wa 1hr then kunywa kdg kdg mara 4 a day

2.Vitunguu ( kamua vitunguu maji chukua drops 5/6 mix ktk vijiko vinne vya maji then kunywa mara 2 a day 

3.Maji ya nazi (kunywa 8/10 glasess ya maji ya nazi kila siku 

4.Banana/ndizi (kula ndizi moja au mbili kila siku.

No comments:

Post a Comment