MAFUA
Mafua- Ni aina ya ugonjwa ambao huwakumba watu wengi, na mara nyingi watu wengi husema mafua siyo ugonjwa kwasababu hupatikana kirahisi na inaweza kukutokea mara kwa mara.
Mafua hutokea taratibu na mara kwa mara na yanaweza kua sugu yakiambatana na magonjwa mengine kama nimonia (homa ya mapafu)
SABABU ZINAZOPELEKEA KUA NA MAFUA
Mafua mara mara nyingi husababishwa na vitu vidogovidogo na yanaweza kuisha yenyewe isipokua kama yamesababishwa na virusi aina ya rhino virus.
Sababu zinazopelekea kua na mafua ni kama ifuatavyo
- Kungia kwa virusi vya rhino virus kwenye mwili kwa njia ya mdomo na pua.
- Kutumia kitambaa/leso(handkerchief)chafu haiko katika hali ya usafi pamoja na taulo(towel)chafu.
- Kula mboga mboga mbichi na matunda pasipo kuosha vizuri(chafu).
- Kugusana na mtu ambae tayari anafua au virusi ya rhino.
- Kunywa maji machafu pamoja na vyakula ambavyo haviko katika mazingira mazuri kwa maana ya uchafu.
DALILI ZA MAFUA
- Maumivu ya kichwa
- Pua kubana,kuwasha au kutokwa na kamasi nyepesi au nzito.
- Pua Kuvimba au kua na vidonda kwa ndani.
- Kutokwa na machozi ikambatana na macho kuwasha.
- Kua na homa
- Kua na kikohozi.
- Kupiga chafya mara kwa mara.
TIBA
1. Tumia Limao na Asali.Weka vijiko viwili vya juisi ya limao na vijiko viwili vya asali changanya na kunywa kutwa mara nne kwa siku.
2. Spice tea

4.Kitunguu maji chemsha au weka kwenye kikombe cha maji ya moto chaganya na kijiko kimoja cha cha Asali


5.Kitunguu swaumu vipande sita,weka kwenye maji ya moto changanya na juisi tumia mara mbili kwa siku.




No comments:
Post a Comment